HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 13, 2009

Chiken Pati Ya Da Zakhia Yassin Yapendeza Sana

Da,Zakhia akiwa katika kiti chake cha kujidai katika sherehe yake ya jikoni iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Utoji Holi.
Da,Zakhia katika pozi.
Ndugu,jamaa na Marafiki wa Da,Zakhia wakiyarudi magoma katika ukumbi wa Utoji Holi.
MC maarufu sana kwa jina la Mama Abdul akiendeleza libeneke la kumuelekeza Da,Zakhia jinsi ya kufungua Shampen katika pati yake jikoni iliyofanyika usiku wa kuamkia leo pale Utoji Holi. Da,Zakhia akiongoza wageni wake kuyasakata mduara.
kwa shughuli kama hizi na nyinginezo naomba msisite kuwasiliana nami kupitia mawasiliano yaliyopo hapo juu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad