
masela wakigombea kupanda ndinga kwa safari ya kwenda Mzuzu,hii picha imepigwa na Mwanakijiji mwenzetu Mama Malaika ambaye alitembelea nchini Malawi siku za hivi karibuni,inasemekana usafiri huu ndio unaotumika sana kwa sehemu za vijijini huko nchini Malawi.sasa sijui swala la usalawa wa raia hawa linachukuliwaje na serikali yao?
No comments:
Post a Comment