
lango kuu la kuingilia na kutokea

mtu nyomi ndani ya viwanja vya sabasaba

banda la Zain kwa mbaaaliii

kila mtu aliingia katika banda la homu shopingi senta kucheni nini kinachoonyeshwa humo ndani

kila kona ilikuwa ni mtu nyomi ile mbaya

Benki kuu ya Tanzania nao ndani ya nyumba

mwaka huu hadi raha maana hakuna kelele kelele kama zile zilizokuwaga zikipigwa katika maonyesho yaliyopita.

Maliasili na Utalii nao kama kawa.

mzee wa nyika akiwa bangani kwake na bonge moja la pozz kwa ajili ya kuangaliwa na wadau
chui akiwa kala bonge la pozz ndani ya banda lake,ndani ya banda la Wizara ya Maliasili na Utalii
No comments:
Post a Comment