huyu jamaa nimemuta katika viwanja vya maonyesho ya biashara ya kimataifa(sabasaba),ambapo nilihisi kama nimemuona Hasheem Thabeet kumbe ni jamaa mwingine kabisa,huyu jamaa nae ndoto yake ni kufikia kama alipofikia Hasheem katika mchezo wa mpira wa kikapu.sasa sijui ataweza fikia hapo kweli kama ndoto zake zilivyoo??
No comments:
Post a Comment