
Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Mfalme Mswati wa Swaziland katika siku ya kwanza ya mkutano wa siku tatu wa wakuu wa nchi na wadau mbalimbali wa maendeleo kanda ya afrika,ulioanza tarehe 26 julai - 28 julai jijini Kampala nchini Uganda. mkutano huo unahudhuriwa na Marais Robert Mugabe wa Zimbabwe, Rais Jakaya Kikwete, Rais Yoweri Museveni wa Uganda, Mfalme Mswati wa Swaziland, Rais Mtaafu Ktumire Mssire wa Botswana, Waziri Mkuu Mstaafu wa Malasya Mahathir Mohammed.
No comments:
Post a Comment