Wadau Pichani Designer & Stylist Sheria Ngowi(Kati)akionyesha baadhi ya nguo zake ambazo zinatarajiwa kuonyeshwa kwenye fashion show baabkubwa itakayofanyika mapema mwenzi August 2009 na Kuambatana na Ufunguzi wa Duka jipya na la Kisasa Kabisa Jijini Dar es Salaam
Tanzania,East Afrika
Kwa Maelezo Zaidi
Sheria.Ngowi@gmail.com
No comments:
Post a Comment