
mishe mishe za mtaa wa msimbazi nyakati za jioni.

wauza nyanya,vitunguu na viazi katika mtaa wa msimbazi

wafanya biashara ndogondogo al maaruf kama wamachinga a.k.a popote kambi,hupenda kuutumia mtaa wa msimbazi kama sehemu ya kufanyia biashara zao,hasa nyakati za jioni na wikiendi wakati kazi za kiofisi zikiwa zimesimama.hapa ni nje ya jengo la benk ya posta lililopo katika mtaa wa msimbazi,kama kajikamera ka MTAA KWA MTAA kalivyozigumia hizi.
No comments:
Post a Comment