eehh bwana usiombee lift inase wakati upo ndani,halafu mtu anaehusika na kufungua lift hizo zikiwa zimekwama tayari keshaondoka.maana mwenzenu leo limenikuta hilo katika lift hii inayoonekana hapa katika mjengo wa J.M.Mall,nilitamani nipasue hicho kioo ili nitoke.sasa sijui kwa nini wanaziacha bila kuzitengeleza na ili hali wakijua kuwa zinahitaji sevisi?
Friday, July 10, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment