HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 10, 2009

Hii Imekaaje??

Askari kanzu wa jeshi la Polisi wakikatiza katika mitaa ya Temeke huku mmoja akiwa amebeba silaha,wakati huohuo kuna Watoto wanaocheza hapo wanaona ni vitu vya kawaida. Ukimwacha huyo mtoto aliyegeuka na kuangalia baada ya kuona ni kitu cha ajabu,wengine wanaendelea na michezo yao bila kuona kuwa ni kitu cha ajabu kwa askari aliyevalia kiraia akipita na silaha mtaani kwao. Je,picha hii inatwambia nini? Tufikiri kwa bidii.picha hii imepigwa na kaka Maggid Mjengwa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad