HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 10, 2009

Haya Maji Yanatika Wapii??

huu ni mtaa wa Mkunguni,ambapo kila siku nipitapo hapo ni lazima nikute maji machafu yakiwa yametuama hapo na ni muda mrefu sana hilo eneo limekuwa hivyo bila kupatikana ufumbuzi wa kuyadhiti maji hayo ambayo ni machafu na tena ni kero kwa wapita njia na wakazi wa eneo hilo.hivyo wahusika mnaombwa sana kulitatua tatizo hili maana ni kero kubwa sana hii.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad