
hivi majuzi kati nilitembelea kule bichi ya coco Beach,ambapo nilishangaa sana kuona haya (sijui ni majani au ni kitu gani) pembezoni mwa bichi nikajiuliza maswali kibao bila majibu,sasa leo naombeni msaada wenu.hivi haya yenye rangi ya kijani ni manini??
No comments:
Post a Comment