hapa ni mbele kidogo ya Vinginguti kama unaelekea Kiwalani bom bom,ambapo barabara yake ni nyembamba sana kiasi kwamba ukitokea ujinga kama huu basi mnaweza kaa hapo hata siku nzima.hii ni leo asubuhi na mapema.
No comments:
Post a Comment