HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, July 29, 2009

Kinyozi Muddy Mzigoni

kinyozi mashuhuri sana kwa uhodari wake wa kula vichwa kwa staili yake ya kupiga watu vipara maeneo ya kariakoo anaefahamika kwa jina la Muddy,akiendeleza libeneke lake kwa mmoja wa wateja wake.huyu jamaa anatupia viwembe tu lakini ukitoka hapo utafikiri umetoka kwa Bittebo vile kwa jinsi alivyo mtaalam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad