washkaji wakikatiza kwa taabu katika moja ya chochoro zilizopo maeneo ya kawe,kutokana na kutuama kwa maji machafu katika chochoro hiyo,sasa sijui kwa nini watumiaji wa chocho kama hizi wanaichunia hali kama hii?
No comments:
Post a Comment