msela akiulizia bidhaa za asilia zinazotengenezwa jamii ya watu wa Kimasai,ambazo zinztengenezwa kwa kutumia ngozi ya ng'ombe na mbuzi pamoja na shanga,katika moja ya mitaa ya jiji la Dar kama kamera ya MTAA KWA MTAA ilivyowakuta wajasilia mali hawa.
No comments:
Post a Comment