Ilenia ni mdada mtaalam wa viungo kutoka Modena,nchini Italy.Huwa anakuja karibu kila mwaka nchini Tanzania kwenye kituo cha watoto walemavu kilichopo huko Mlali-Dodoma.
Halafu mara nyingi huwa apatapo nafasi kutembelea pia kituo cha watoto yatima Makalala, kusaidia mambo mbalimbali.
Hapa kwenye picha yuko na mtoto Bonny wa kituo cha Makalala, wakiwa kwenye tizi kali, kwa furaha.kwa mapicha kibao ya husuyo watoto yatima na waishio katika mazingira magumu tembelea katika kijiji hiki http://makalala-chibiriti.blogspot.com

No comments:
Post a Comment