HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 9, 2009

matairi chakavu

huku uswazi kwetu huwa hakitupwi kitu,maana kila kinachomalizika kazi katika sehemu moja basi hutafutiwa sehemu nyingine ya kuendelezea libeneke.ni kama haya matairi yaliyochimbiwa chini hapa,haya ni kwa ajili ya kukalia na huku mambo mengine yakiendelea kama kawa.hapa ni magomeni mapipa jirani kabisa na kwa macheni

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad