HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 9, 2009

rais kikwete akutana na viongozi wa wizara ya afya,pia aapisha leo

Rais Jakaya Kikwete akifungua kikao cha Viongozi wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kilichofanyika ikulu jijini Dar leoRais Jakaya Kikwete akimkabidhi vitabu vya majukumu katibu Mkuu wa Wiazara ya Sheria na Katiba, Bwana Oliver Mhaiki muda mfupi baada ya Kumwapisha ikulu jijini Dar es Salaam,leo.
Katibu Tawala wa mkoa wa Mwanza Bibi Dorothy Mwanyika akila kiapo mbele ya Rais Jakaya Kikwete Ikulu jijini Dar leo.picha na Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad