HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, March 22, 2009

Libeneke La Barabara Zetu

michivi ndivyo inavyokuwaga pindi umeme unapoleta mushkeri katika mabarabara yetu hapa bongo,hii ni mchana wa leo katika mataa yaongozayo magari yaliyopo katika kakutano ya barabara ya Ally Hassan Mwinyi na Kawawa Rodi pale Morocco.hivi kwa nini hizi taa zisingebadilishwa na kuwekwa zile za kutumia mionzi ya jua ili matatizo kama haya yasitokee tena?

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad