leo katika pita pita zangu za Mtaa Kwa Mtaa,nilikutana na wawili hawa wakiwa wamebeba watoto wao kila mmoja katika mgongo wake,nilifurahi sana na nilifarijika sana kuona wawili hawa wakitoa darasa kwa kina sisi japo si kwa kuambiwa,kwani hicho kitendo tu ni darasa tosha kabisa kwetu.Bigi apuu sana kwa wawili hawa kwani kitu walichokifanya ni kitu cha faraja sana katika mapenzi.
Monday, March 23, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment