HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, March 22, 2009

Nature Afanya Kweli Katika Kugawana Umaskini

natureSir Juma Nature akiwapagawisha mashabiki wake waliofika katika ukumbi wa Diamond Jubilee holi kwenye uzinduzi wa albamu yake ya Tugawane Umaskini iliyofanyika usiku wa jana.natureKundi zima la TMK Wanaume Halisi,likiwa bega kwa bega na kiongozi wao Sir Juma Nature katika uzinguzi wa albam yake mpya ya Tugawane Umaskini iliyozinduliwa jana usiku katika ukumbi wa Diamond Jubilee Holi ambapo mtu bwena zilitia maguu ukumbini hapo kwa ajili ya kumpa tafu mtu mzima Nature.kwa mapicha zaidi na zaidi ya uzinduzi huo zama katika wanja la mkuu wangu kwa kubofya hapa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad