HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 7, 2008

Mamodo Wa Africa Mashariki Waanza Kambi Rasmi Leo

meneja wa bia anina ya Redds George Kavishe akieleza jambo wakati wa mkutano wa kuwatambulisha rasmi mamodo wa East Africa Model Search katika hoteli ya Southern Sun (zamani Holiday Inn) Dar leo. Redds ndio wadhamini wakuu wa mchuano huo wenye mamodo toka Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi na wenyeji Tanzania. wengine toka shoto ni Judy Felician ambaye ni mratibu mkuu, Bona Kaluwa ambaye ni mkurugenzi mkuu wa michuano hiyo na Celine Njunju afisa habari wa Zain ambaye kampuni yake ni wadhamini.
mkufunzi mkuu wa mamodo wa East Africa Model Search,modo mkongwe Fideline Ilanga (kati) akila pozi la nguvu na mamodo wake hao ambao watachuana novemba 29, 2008 hapa Dar kupata washindi wanne wataopata mikataba ya kufanyia umodo ughaibuni
mamodo wa Afrika Mashariki wakionesha miondoko yao leo.picha zote kwa hisani ya issamichuzi.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad