Rais Jakaya Kikwete akiwasili jijini Nairobi leo tayari kwa mkutano wa mgogoro wa Kongo Mwenyekiti wa African Union (AU) Rais Jakaya Kikwete akiongea na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mh. Ban Ki Moon muda mfupi kabla ya kikao maalumu cha majadiliano kuhusu mgogogoro mashariki ya Kongo katika hoteli ya Windsor Golf and Country Resort leo hii huko Nairobi, Kenya. Rais Jakaya Kikwete akiwa pamoja na Rais Yoweri Museveni wa Uganda wakiongozana na mwenyeji wao Rais Mwai Obama wa Kenya kwenye hoteli ya Windsor ambako mazungumzo ya mgogoro wa Kongo yanaendelea leo
No comments:
Post a Comment