HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, November 5, 2008

Obama Ashinda Uchaguzi Marekani

Barack Obama akiwa na mai waifu wake,Obama amefanikiwa kushinda katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu wa urais Marekani mara baada ya kumgaragaza vilivyo mpinzani wake John McCain kwa kura nyingi sana.hii inaonyesha ni kiasi gani waMarekani walivyo na msimamo na nchi yao.mimi pamoja na wadau wengine tunamtakia kila lililo kheri katika uongozi wake ndugu yetu huyu Barack Obama.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad