HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, October 5, 2008

Wadau

nimekula pozi na wadau wakubwa wa kijiji hiki cha WANYAMBALA nilipogongana nao mitaa ya Kinondoni kwa Manyanya,na wanatoa pongezi kubwa sana blog hii kwa kutimiza mwaka mmoja kutoka kuzaliwa kwake.mdau alie kushoto kwangu afahamika kwa jina Ritha na kulia Alma.nawashukuru sana wadau hawa kwa pongezi zao.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad