HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 6, 2008

Alma Garment Mambo Kama Kawa

vitu vya kuvutia
nami nilipiga pamba 
dada adia akionyesha pamba jinsi zilivyomkaa katika bodi yake.

dada Alma akimuhudumia mteja wake

DUKA LA ALMA GARMENTS,LILILOPO MAENEO YA KINONDONI KWA MANYANYA JIRANI KABISA NA DUKA LA YULE MTANGAZAJI  WA EAST AFRICA TV MAIMATHA JESSE LINALOFAHAMIKA KAMA (MANYWELE).DUKA HILI LIMEINGIZA MALI MPYA KABISA TOKA UGHAIBUNI "YAANI VITU VYA UKWELI KABISA" VYA WATOTO NA VYA WATU WAZIMA,WANAWAKE KWA WANAUME,NYOTE MNAKARIBISHWA.WAWEZA WASILIANA NA DADA ALMA MOJO KWA MOJA KUPITIA NAMBA HII 0716 144 399 PIA WAWEZA MPATA KWA KUTUMIA EMAIL HII 
almaposh00@hotmail.com

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad