
Habari zilizonifikia hivi punde zinasema kwamba Ile blog iliyokuwa inawanyima watu wengi raha inayofahamika kwa jila la theutamu IMEFUNGIWA RASMI,na bado anafuatiliwa kwa karibu na mpaka sasa imeshajulikana kwamba mwanzilishi yuko Tanzania na anashirikiana na wawili walio nje ya nchi ambapo mmoja yuko UK na mwingine US.
Kibaya zaidi ni kuwa wote waliotuma barua pepe kwenda kwenye email ya utamu wako recorded,na wanafuatiliwa kwa ukaribu kabisa. Watanzania wametahadharishwa waache kutumia blogs kuchafuana bila ushahidi wowote,Epuka kutuma barua pepe huko ukidhani hutojulikana...!
No comments:
Post a Comment