Leo Tarehe 05/10/2008,Blog yetu hii ya jamii inakuwa inatimiza mwaka mmoja tangu kuzaliwa kwake hapo tarehe kama hiyo mwaka wa jana,napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wadau wote wanaotembelea Blog hii yaani nawashukuru sana tena sana,maana nyie ndio mlioweza kulifanikisha hili libeneke hapa lilipo kwa mawazo yenu na ushauri wenu nawashukuruni sana.pia wadau wangu wapendwa naomba kuwapa fursa hii kwa yeyote mwenye habari,picha anaetaka msaada tutani, nk. asisite kunitumia kupitia email yangu hii jamiothman@gmail.com.
-Michuzi Jnr
hongera
ReplyDeletehappy siku ya kuzaliwa blog, kazi nzuri kila la kheri kaka,
ReplyDeleteVADONDE
hongera sana.
ReplyDeleteila mwana hata keki??
haya ongeza juhudi.