Mzee Ambakisye Yoram akimvika mgolole wa Heshima Rais Kikwete muda mfupi kabla ya Rais kuwahutubia maelfu ya wakazi wa mji wa Rungwe jana.Rais Kikwete yupo katika ziara ya siku kumi mkoani Mbeya Rais Jakaya Kikwete na mke wake Mama Salma Kikwete wakipokea maua kutoka kwa wanafunzi ya shule ya msingi Lufingo wilayani Rungwe,Baraka Michael na Ashura Ephraim, muda mfupi kabla ya kuzindua SACCOS ya Lufingo wilayani Rungwe. JK akiwasalimia maelfu ya wakazi wa mji wa Mbeya waloijitokeza kumlaki kwa shangwe wakati wa mwanzo ya ziara yake ya kikazi Mkoani humo Raisi Jakaya Kikwete akihutubia umati wa wananchi wa Mwakaleli alikokwenda kuzindua kiwanda kipya cha kusindika chai. Kila alipokwenda alikuta umati mkubwa na alipokewa kwa shangwe na nderemo
No comments:
Post a Comment