HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 13, 2008

Kumbukumbu ya Kifo cha Baba Wa Taifa,Mwl J.K.Nyerere

kila inapofika tarehe 14/10,watanzania wote huwa tunakumbuka siku ya kifo cha Baba wa Taifa Mwl.J.K.Nyerere.kilichotokea mnamo mwaka 1999 tarehe kama hiyo ya hapo juu.Je,sisi tukiwa kama Watanzania tunamkumbuka vipi Mwl.Nyerere? na Je, unakumbuka nini siku ulipopata taarifa ya kifo chake?

nawasilisha hoja.

1 comment:

  1. http://www.eastafricantube.com/media/13300/Surprise_wedding_first_dance_by_Clay_Family_U_GOTTA_C_IT/

    ReplyDelete

Post Bottom Ad