Mbona kitu cha kawaida tu katika ujenzi na ukarabati wa majengo marefu.Hiyo ni system yakusafirishia uchafu au mabaki yatokanayo na ujenzi unaoendelea katika jengo hilo. Tena hizo ndoo ni ndogo mbona kuna wengine wanaweka kubwa kama mapipa na hapo inakuwa rahisi hata kwa taka kubwa kupenya hadi chini. NILIPITIA HAPA MUGABE MWANA:
hmmm kwa ninavyojua mimi hizo zitakua ni ndoo zimeunganishwa.
ReplyDeletena huu nahisi ni utaalamu wa china.au si kweli?
heeee!!!! acha utani hii ni nini tena. zinaonekana kama ndoo lakini ni vip hapo??/
ReplyDeletehizo ni ndoo kweli zilizounganishwa,lakini zina kazi gani hapo?
ReplyDeletemkishindwa nipeni mji ili niwape jibu.
haha haha haah
Mbona kitu cha kawaida tu katika ujenzi na ukarabati wa majengo marefu.Hiyo ni system yakusafirishia uchafu au mabaki yatokanayo na ujenzi unaoendelea katika jengo hilo.
ReplyDeleteTena hizo ndoo ni ndogo mbona kuna wengine wanaweka kubwa kama mapipa na hapo inakuwa rahisi hata kwa taka kubwa kupenya hadi chini.
NILIPITIA HAPA MUGABE MWANA:
nimekupata kijana wa Mugabe,unaakili kama nyingi kama baba yako vile.safi sana.
ReplyDeletehalafu hata mimi nilitaka kujibu kama alivyojibu huyo anonymous hapo juu.
ReplyDeleteyaani inaelekea akili zake na zangu ziko sawasawa.
haha hahah ahah
MDAU.
sasa mbona hukujibu tangu mwanzo wewe Anonymous,thu sep 25,10:16:00 am?
ReplyDelete