HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 24, 2008

7 comments:

  1. hmmm kwa ninavyojua mimi hizo zitakua ni ndoo zimeunganishwa.
    na huu nahisi ni utaalamu wa china.au si kweli?

    ReplyDelete
  2. heeee!!!! acha utani hii ni nini tena. zinaonekana kama ndoo lakini ni vip hapo??/

    ReplyDelete
  3. hizo ni ndoo kweli zilizounganishwa,lakini zina kazi gani hapo?

    mkishindwa nipeni mji ili niwape jibu.
    haha haha haah

    ReplyDelete
  4. Mbona kitu cha kawaida tu katika ujenzi na ukarabati wa majengo marefu.Hiyo ni system yakusafirishia uchafu au mabaki yatokanayo na ujenzi unaoendelea katika jengo hilo.
    Tena hizo ndoo ni ndogo mbona kuna wengine wanaweka kubwa kama mapipa na hapo inakuwa rahisi hata kwa taka kubwa kupenya hadi chini.
    NILIPITIA HAPA MUGABE MWANA:

    ReplyDelete
  5. nimekupata kijana wa Mugabe,unaakili kama nyingi kama baba yako vile.safi sana.

    ReplyDelete
  6. halafu hata mimi nilitaka kujibu kama alivyojibu huyo anonymous hapo juu.
    yaani inaelekea akili zake na zangu ziko sawasawa.
    haha hahah ahah

    MDAU.

    ReplyDelete
  7. sasa mbona hukujibu tangu mwanzo wewe Anonymous,thu sep 25,10:16:00 am?

    ReplyDelete

Post Bottom Ad