.jpg)
.jpg)
katika njia zenye madereva wa daladala wenye vurugu hapa Bongo,hii ya Tandale uzuri itakuwa inashika namba moja.maana madereva wa hii njia sheria za barabarani wanazo wenyewe,sasa hebu angalieni jinsi hayo magari yao wanavyoyaweka humo barabarani utafikiri nafasi hakuna ya kuegesha wakati wa kupakia abiria,na hapo abiria mwema wakati wa kupanda tu na ufikapo wakati wa kushuka abiria anakua hana thamani tena.mimi nafikiri hawa watu wa usalama barabarani waliangalie hili kwa mapana zaidi ili kupunguza haya matatizo.
No comments:
Post a Comment