Kiingilio ni shilingi mia kwa picha moja. Picha nyingi zinazoonyeshwa katika sehemu hazifai kuonyeshwa kwa watoto wa umri kama huo pichani. Wahusika ni lazima walitambue hili na wachukue hatua za kuwalinda watoto hawa. Picha kutoka http://mjengwa.blogspot.com
No comments:
Post a Comment