IMAG0595.JPG)
Mdau Chibiriti aliopo kule Cesena nchini Italy(mwenye fulana nyekundu) akiwa pamoja na marafiki zake kutoka huko huko nchini Italy,walipokuja Bongo kwa mapumziko mafupi.hapa walikuwa katika kituo ya kulea Watoto Yatima cha Makalala,kilichopo Mkoani Iringa ambacho kipo chini ya dada Malaika ambaye alizaliwa hapa Bongo lakini anaasili ya kitaliano.kwa sasa Chibiriti ameanzisha Blog inayoelezea maswala ya Watoto Yatima,ambapo utakutana na mambo mengi yanayohusu Watoto wa kituo hicho cha Makalala.waweza mtembelea kupitia link hii
http://makalala-chibiriti.blogspot.com.
No comments:
Post a Comment