HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, August 29, 2008

Vodacom Yakabidhiwa Gari Rasmi Kwa Miss Tanzania

Pichani ni Baadhi ya viongozi wa Vodacom Mkurugenzi wa masoko Bw.Ephraim Mafuru pamoja na Meneja maendeleo-biashara Bw.Raghu Shetty wakimkabidhi funguo miss Vodacom Tanzania 2008 leo asubuhi
Mchuma mpya kabisa huu aliokabidhiwa leo asubuhi Vodacom Miss Tanzania 2008 Nasreem Kalim,wenye thamani ya sh.Milioni 42

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad