HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, August 30, 2008

Unafikiri Wachina Walipata Medali Kirahisi!?

Ulimwengu ulishangaa baada ya China kujitwalia medali nyingi za dhahabu kuliko nchi nyingine katika mashindano ya Olympics yaliyomalizika hivi karibuni..lakini maandalizi yake unayaona yanaanzaia wapi?picha hizi ni kwa hisani ya mdau Komred wa kijiji cha FOTOBARAZA.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad