hii ni sports bike imerekebisha kuwa cruise buke lakini lazima motor ife ikienda safari ndefu. cauz cruize bike haziwagi na motor ndogo. lakini kama milega kaanzia ndogo anaweza toboa hata 500km sema lazima itamletea matatizo kidogo. lakini sio mbaya.

ReplyDelete