HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, August 16, 2008

Ujenzi Wa Jengo La Machinga Compex Wazinduliwa

Rais Jakaya Kikwete akizindua rasmi Ujenzi wa jengo la ghorofa sita eneo la Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam,ambalo limengwa maalum kabisa kwa ajili ya wafanyabiashara ndogondogo wa jijini Dar es salaam wanaofahamika zaidi kwa jina la Wamachinga.
Mwonekano wa Jengo la Ghorofa sita linalojengwa Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam Maalum kabisa kwa wafanyabiashara ndogondogo Maarufu kama Machinga..Picha na Mdau Athuman Hamisi/TSN

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad