Picha mwanana za Miss Universe Tanzania 2007 Flavian Matata akiwa nchini South Afrika ambapo ameula kiulaini nakufanikiwa kusaini mkataba wa Mwaka Mmoja na Kampuni ya kubwa ya mitindo ya Ice Model Agency,pamoja na mambo mengine Flavian Matata anatarajia kutua jijini Tokyo nchini Japan kwa Mwaliko wa kampuni ya Wilna International Limited ya Japan ambapo atajaribu zali na kampuni kubwa ya mambo ya Ulimbwende nchini humo ya Jones.
No comments:
Post a Comment