NILICHO KIZUNGUMZIA HAPO MWANZO NDICHO KILICHOTOKEA LEO NDANI YA UWANJA WA TAIFA WA NESHNO,AMBAPO TIMU YA YANGA YENYE MASKANI YAKE KATIKA MAKUTANO YA MTAA WA JANGWANI NA TWIGA STEET, HAIJAWEZA KUTIA TIMU UWANJANI KWA SABABU ZISIZO ELEWEKA.KUTOKANA NA YANGA KUFANYA KITU HICHO AMBACHO NI CHA KUFEDHESHA SANA,TIMU YA SIMBA SASA NDIO IMEFANIKIWA KUSHIKA NAFASI YA TATU NA KITITA CHA DOLA ZA KIMAREKANI 10,000.SOKA LETU LITAFIKA WAPI KAMA MAMBO YENYEWE NDIO KAMA HAYA?
No comments:
Post a Comment