kikosi cha wana wa jangwani (juu)na chini kikosi cha wekundu wa msimbazi
bado dakika chache tu ili mpira uanze na hadi hivi sasa ni timu moja tu ndio iliyoingia uwanjani yaani nikimaanisha ni simba ndio ambao wako uwanjani hadi hivi sasa,lakini vijana wa jangwani hawajaingia hadi hivi sasa,sijui ndio watakuwa wameingia mitini?
No comments:
Post a Comment