HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 28, 2008

Kunradhi

KUTOKANA NA MATATIZO YALIYO NJE YA UWEZO WANGU KWA SIKU YA LEO,NAOMBENI MNIWIE RADHI KWA HILI LILILO JITOKEZA KATIKA MTANDAO KWA HIYO KWA LEO SITOWEZA KUFANYA KITU CHOCHOTE HADI HAPO KESHO IWAPO MAMBO YATAKUWA MAZURI.PIA BILA KUSAHAU NAOMBA KAMA KUNA MTU ANATAKA KUTUMA PICHA ZAKE ZA AINA YEYOTE AU ANATAFUTA NDUGU JAMAA MARAFIKI WALIOPOTEANA KWA MUDA MREFU,USISITE KUNITUMIA KUPITIA EMAIL HII YA jamiothman@gmail.com.

-MICHUZI JUNIOR-2

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad