Mwanamuziki kutoka nchini Congo DRC,Werasson na skwadi lake zima wametua jana usiku kwenye uwanja JK,tayari kwa shoo kabambe itakayofanyika kesho ndani ya ukumbi wa Ubungo Plaza,jijini Dar ambapo kiingilio kimepangwa kuwa ni sh 20,000 pamoja na msosi wa nguvu,Pichani ni Werrason alipokuwa akifanya mahojiano mafupi na mwandishi wa habari Alfred Lucas
No comments:
Post a Comment