HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 27, 2008

Muonekano Mpya Wa Picha Rasmi Ya Rais Kikwete

Mwonekano wa Karibu wa Picha Mpya ya Rais Jakaya Kikwete kuanzia leo. na chini ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO),Kassim Mpenda akionyesha picha mpya na ile ya zamani na alisema makatibu wakuu na maofisa wengine wote wa Ofisi za Serikali Kuu,Serikali za Mitaa,Wakala na asasi nyingine za serikali waneshauriwa kuanza kutumia picha mpya.Alisema kila nakala yenye picha hiyo yenye vipimo vya sentimita 18x22,itauzwa kwa bei ya Sh 15,000 na Zinapatikana kuanzia sasa katika Ukumbi wa Habari Maelezo jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad