HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, June 26, 2008

Ushauri Wa Bure Kwa Wakandarasi Wa Maghorofa Bongo

Babu wa kijiji cha jamii Fotobazara alipopata habari za kuanguka kwa ghorofa pale mtaa wa Kisutu, juma lililopita, akaona si vibaya kuwashauri wataalamu wetu wa ujenzi kuwa kama maghorofa yanawapa tabu kuyasimamisha basi tuishie kwenye geto kama hizi, hakuna atakayetuuliza kwani hakuna anayetudai. Unadhani Babu anawaza sawa? Bofya hapa kutoa mchango wako.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad