
Katika ajali hiyo waliofariki dunia wamejulikana kuwa ni Kanali Wakete ambaye alikuwa rubani, Meja Sinda ambaye pia alikuwa rubani, Luten Kirunga ambaye alikuwa fundi,PTE Mambe(fundi),mke wa Brigedia Jitenga,Irene jitenga na mtoto wa Kanali Mzirai ambaye jina lake halikufahamika mara moja na ni mkazi wa Arusha.Habari na Joseph Ngilisho/Global Publishers Arusha.
No comments:
Post a Comment