aliyesema shughuli hizi ni kwa kina mama tu,huyo atakuwa amekosea kabisa maana hata kina baba pia wanafanya.hapa ni jamaa wakionekana wakichoma vitumbua na mwingine nyuma yao akichoma chapati.hii inapendeza sana kuona vijana wanaamua kujishughulisha na shughuli mbali mbali.
No comments:
Post a Comment