HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, June 9, 2008

Wadau Wa Kijiji Cha Fotobaraza Wakutana Laivu Laivu!

Wadau wa kijiji cha jirani cha fotobaraza wakutana laivu laivu maeneo ya tabata Dar west,kutoka kushoto ni dada yetu mpendwa aliyeweza kufanya juu chini kuweza kuwakutanisha wadau hawa dada Tullah anaeishi kule Ujerumani,anaefuata ni muunganishaji wa watu hawa na wengineo katika kijiji cha jamii mkuu Babukadja au ukipenda waweza muita Bob Sankofa,anaefuata ni RT kirefu chake nimesahau huyu ndie aliewapatia wadau hawa mwaliko huu ndani ya eneo hili la kujidai hasa kwa mambo ya ngwasuma,na wa mwisho kabisa ni mdau wa kijiji cha fotobaraza na mmiliki wa kijiji cha WANYAMBA,anaefahamika kwa jina la Michuzijr jina la kwanza nimelisahau.
tunamshukuru sana dada huyu aliyetoka Ujerumani na kuweza kuwakutanisha wadau hawa waishio hapahapa Bongo,tunashukuru sana.

1 comment:

  1. hehehe we jr wewe.
    sasa hujui kirefu cha majina ya wenzako sasa mlikutana vp?rt ni right thought na jr ni join rescue.
    big up sana muendelee hivohivo kukutana.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad