
Wadau wa kijiji cha jirani cha
fotobaraza wakutana laivu laivu maeneo ya tabata Dar west,kutoka kushoto ni dada yetu mpendwa aliyeweza kufanya juu chini kuweza kuwakutanisha wadau hawa dada
Tullah anaeishi kule Ujerumani,anaefuata ni muunganishaji wa watu hawa na wengineo katika kijiji cha jamii mkuu
Babukadja au ukipenda waweza muita Bob Sankofa,anaefuata ni
RT kirefu chake nimesahau huyu ndie aliewapatia wadau hawa mwaliko huu ndani ya eneo hili la kujidai hasa kwa mambo ya ngwasuma,na wa mwisho kabisa ni mdau wa kijiji cha
fotobaraza na mmiliki wa kijiji cha WANYAMBA,anaefahamika kwa jina la
Michuzijr jina la kwanza nimelisahau.
tunamshukuru sana dada huyu aliyetoka Ujerumani na kuweza kuwakutanisha wadau hawa waishio hapahapa Bongo,tunashukuru sana.
hehehe we jr wewe.
ReplyDeletesasa hujui kirefu cha majina ya wenzako sasa mlikutana vp?rt ni right thought na jr ni join rescue.
big up sana muendelee hivohivo kukutana.